Main Menu

Saturday, June 22, 2013

MAWAZIRI WAJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO MJINI DODOMA


kutoka kushoto, katibu mkuu ofisi ya makau wa raisi bwana Sazi Salula, waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa mkutano,Mh Ali Juma shamhuna waziri wa Elimu Zanziabr, akimuwakilisha  Wazri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais zanzibar kama mwenyekiti mwenza katika kikao cha kamati ya pamoja cha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi zanzibar cha kujadili changamoto za Muungano. 


Baadhi ya mawaziri wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za muungano mjini Dodoma Leo 



pichani kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi yamakamu wa Rais Muungano mh Samia Suluhu Hasan akiongoza kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za muungano..mjini Dodoma leo.. 
 

baadhi ya wakurugenzi kutoka Ofisi ya makamu wa rais wakifuatilia mazungumzo katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za muungano kinachoendelea mjini Dodoma 

 Picha zote na Evelyn Mkokoi

0 comments:

Post a Comment