Main Menu

Tuesday, March 26, 2013

WAANGALIZI WA HAKI ZA BINADAMU NA WASAIDIZI WA KISHERIA WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU LHRC WAMETAKIWA KUSAIDIA KUPATIKANA KWA KATIBA MPYA YENYE TIJA KWA WATANZANIA

 mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC hellen kijo bisimba akifungua mafunzo kwa waangalizi wa haki za binadamu na wasaidizi wa kisheria wa kituo hicho kutoka mikoa yote nchini katika ukumbi wa maaskofu, kurasini jijini dar es salaam.
 mwezeshaji katika mafunzo wa waangalizi wa haki za binadamu imelda lulu
 mkurugenzi mtendaji LHRC hellen bisimba akitoa mafunzo kuhusu sheria ya mtoto namba 21 ya mwaka 2009.
         wana semina wakiwa katika mafunzo ya vikundi vikundi vilivyogawanywa kikanda ambapo ziligawanywa kanda 8.


 aliyekua  msimamizi wa waangalizi wa haki za binadamu wa LHRC leititia petro akiwaaga waangalizi baada ya kuamua kufanya shughuli nyingine nje ya kituo hicho.


  mshiriki akizungumzia muungano wa tanganyika na zanzibar kwa hisia kali wakati wa kujadili sheria ya mabadiliko ya mkataba mpya.

  mwezeshaji kutoka jumuiya ya ulaya sarah mount akizungumzia muundo wa jeshi la polisi katika katiba mpya.
          mwangalizi kutoka wilaya ya mpwapwa mkoani dodoma zuhuri akipresent kazi ya kikundi chake
                                          waangalizi na wasaidizi wa kisheria

 kutoka kushoto flavian charles msimamizi wa kitengo cha waangalizi na viongozi wengine wa LHRC wakkisikiliza maoni ya washiriki katika mafunzo hayo.

0 comments:

Post a Comment