Main Menu

Friday, January 11, 2013

RVP NA AVB WATWAA TUZO ZA MWEZI DECEMBER 2012

                       robin van persie ameisaidia timu yake ya manchester united katika michezo ya mwezi wa kumi na mbili hususani mchezo na wapizani wao wakubwa man city na kuweza kuongoza ligi kwa tofauti ya poiti saba.
                             kocha wa timu ya tottenham ya london ambayo ameisaidia mwezi december na kusogea hadi nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi kuu nchini england.

0 comments:

Post a Comment