Barcelona imeendelea kusumbua ulaya baada ya kutoa
wachezaji kumi kwenye kikosi bora cha msimu cha ligi ya mabingwa ulaya.
Klabu ya Juventus ambayo ni mwana fainal wengine imetoa
wachezaji watano kwenye kikosi hicho wakijumuhishwa wakongwe Gigi Buffon na Andrea
Pirlo.
Ligi kuu ya England kwa ujumla wake imetoa mchezaji mmoja
tu ambaye ni beki wa pembeni wa klabu ya Chelsea Branislav Ivanovic .
Katika kikosi hicho pia kimemjumhisha mshambuliaji wa Real
Madrid Christian Ronaldo pamoja na kiungo toni Kroos.
Kikosi kamili cha uefa champions league hiki hapa.
0 comments:
Post a Comment