Main Menu

Friday, January 3, 2014

HAPA NDIPO ATAKAPOZIKWA MAREHEMU DKT WILLIAM MGIMWA KIJIJINI MAGUNGA


Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi  wa  CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa  katika  kijiji  cha Magunga kata  ya Maboga  jimbo la Kalenga.
Makaburi ya familia ya Mgimwa

Picha na Francis Godwin.


0 comments:

Post a Comment