Huyu anaitwa darasa watu wengi tulimfahamu kupitia ngoma yake ya sikati tamaa na kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya aliyomshikisha dito ijulikanayo kama weka ngoma.
Tunamfahamu kama linex linenga member wa kigoma all star
Madee
Madee anatamba na pombe yangu na hivi karibuni kaachia tema mate tumchape inayofanya vizuri pia.
Ney wa mitego mchizi aliyepigwa marufuku na basata kuvaa mlegezo
Huyu dogo anajiita young killer kutoka mwanza naye atakuwepo paleeee amani stadium makambako
0 comments:
Post a Comment