Main Menu

Friday, August 16, 2013

VODACOM NETWORK OUTAGE TODAY EXPLAINED/UFAFANUZI WA KWIKWI YA HUDUMA ZA VODACOM LEO


Mitambo ya Vodacom salama 
baada ya moto kudhibitiwa
Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu. 

Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.


0 comments:

Post a Comment