Main Menu

Wednesday, August 14, 2013

MAZISHI YA MAREHEMU ERASTO MSUYA MFANYABIASHARA ALIYEPIGWA RISASI MAJUZI JIJINI ARUSHA



Heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.


 Nyumba ya milele ya marehemu Erasto Msuya ikiandaliwa.

Ni siku takribani sita zimepita tangu mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aliyefahamika kwa jina la Erasto Msuya kupigwa risasi na kufariki dunia papo hapo katika eneo la Bomang'ombe karibu na njia panda ya KIA (Kilimanjaro International Airport), leo ni siku ya mazishi ya mfanyabiashara huyo ambaye alikua akiishi jijini Arusha maeneo ya kwa Iddi. Marehemu amezikwa Mirerani katika kijiji cha Kairo.



0 comments:

Post a Comment