Main Menu

Wednesday, April 17, 2013

TAARIFA KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR ZIMEARIKU KUWA BI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA

Taarifa kutoka visiwani zanzibar zimearifu kuwa msanii mkongwe na mahiri katika fani ya muziki wa mwambao Fatuma binti Baraka almaarufu kama Bi Kidude amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Taarifa zilizothibitishwa na mwandishi wa habari wa ITV Farouk Karim zinasema kuwa Bi Kidude amefariki nyumbani kwake Bubu Zanzibar.

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi ikiwa ni pamoja na mipango ya mazishi.

M.A.P

0 comments:

Post a Comment