Wakati
ligi kuu ya england ikimaliza round ya kwanza mshambuliaji wa manchester united
robin van persie alikua kwenye kiwango bora zaidi kwa maana ya kuwa na uhakika
wa kufunga karibu kila mechi, lakini kwa miezi miwili mfululizo mshambuliaji
huyo amefanikiwa kufunga goli moja tu .
Pamoja
na club yake kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi 12 bado mshambuliaji huyo
ameshindwa kuonyesha umahiri wake katika mchezo wa jumatatu usiku dhidi ya man
city katika uwanja wa old traford.
Wakati
kila mtu akiamini man united atakua bingwa wa
Barclays Premier League Rvp anaendelea kupoteza uhakika
wa kupigiwa kura kwa kuwa na msimu bora kutoka kwa wachezaji wenzake na
waandishi wa habari za soka.
Hali
hii inayomkabili Rvp ni kama ile iliyowahi kumkabili mshambuliaji wa chelsea Fernando Torres wakati alipoihama liverpool wakati wa dirisha dogo.
Changed days: Robin Van Persie can't find the back of the net for love nor money after his blistering start
Stunning start: Van Persie was an instant hit at United as his goals fired them to the Premier League summit
In doubt: Van Persie was the leading contender for both the PFA (above) and FWA end-of-season awards
0 comments:
Post a Comment