mbunge wa jimbo la kigoma kaskazini CHADEMA zito kabwe katika safari ya mwisho ya juma kilowoko
pamoja na mvua kunyesha bado umati mkubwa ulijitokeza katika mazishi ya sajuki
safari ya kuelekea makaburi ya kisutu kwa ajili ya kuuhifadhi mwili wa sajuki
nyumba ya mwisho ya sajuki ambayo nasi wote tutapitia hapo
Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Raj'un
picha kwa hisani ya bin zubeiry
0 comments:
Post a Comment