Main Menu

Sunday, December 30, 2012

R.O.M.A KUITAMBULISHA 2030 BEACH PARTY KIGAMBONI

Mambo niaje kaka,hii ni show itakayokua ya kuufunga na kuukaribisha mwaka,tar 31 pale hunters beach kigambon itakua na wasanii kibao akiwemo roma,kala jeremiah,makomando,juma nature,momba,jos mtambo,black wa uswaz,barnaba,dullayo,momba,suma lee,robby mshindi wa freestyle wa nokia dont break the beat,chibwa,stamina,yakuza mobb,alonem wa zanzibar na wengne kibao....

0 comments:

Post a Comment