HAMISI KIZA ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
Mchezaji
Hamisi Kizza amejiunga rasmi na Klabu ya Simba leo kwa kusaini mkataba wa miaka
miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya leo mchana.
Hamis Kizza
ni mchezaji kutoka Uganda ambaye pia anacheza timu ya Taifa ya Uganda, Uganda
Cranes.
Taarifa kwa mujibu wa www.simbasports.co.tz
0 comments:
Post a Comment