Main Menu

Wednesday, June 24, 2015

TIMU ZA TANGA ZAIBOMOA KAGERA SUGAR



 
Timu mbalimbali zimeendelea kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara na michuano ya kimataifa.

Vilabu vya mkoani Tanga ni miongoni mwa timu zinazoboresha vikosi vyao kwa kasi, ambapo hii leo timu hizo zimegawana makocha wa timu Kagera Sugar.

Timu ya coastal union imempa dili la mika miwili aliyekua kocha mkuu wa timu ya kagera sugar Jackson mayanja.

Wakati mayanja akitua coastal msaidizi wake mrage kabange muda wowote anatarajiwa kumwaga wino katika timu ya African sports.

0 comments:

Post a Comment