
Kufuatia kupata mwaliko huo kikosi cha U23
kitaondoka nchini ijumaa tarehe 5, Juni 2015 kuelekea nchini Rwanda kikiwa na
wachezaji 18 chini ya kocha Salum Mayanga.
Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime ameongezwa
kwenye benchi la ufundi litakalokwenda Ethiopia kisha nchini Misri
kufuatia kocha Salum Mayanga kuwa na timu ya U23 nchini Rwanda.
0 comments:
Post a Comment