GOLDEN STATE WARRIORS YALIPIZA KISASI KWA CAVALIERS FAINAL YA NBA
Fainal ya nne ya NBA imepigwa alfajiri ya leo na kuishuhudia timu GOLDEN STATE WARRIORS ikirejea katika ushindi baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya CLEVELAND CAVALIERS. WARRIORS wamepata ushindi mnono wa point 103 kwa 83 huku mkali wake MVP Stephen Curry na Andre Iguodalawakitupia point 22 kila mmoja.
0 comments:
Post a Comment