Main Menu

Tuesday, May 26, 2015

YANGA YAENDELEA KUBORESHA KIKOSI CHAKE YAMSAINISHA BEKI WA TIMU YA TAIFA



Baada ya kumsajili Dues Kaseke na kuwaongeza mkataba wachezaji wake watatu, Yanga imeendelea kuboresha kikosi chake.

Beki wa kushoto wa timu ya kmkm ya visiwani Zanzibar Haji Mwinyi na Taifa Stars leo amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.

Haji alikua afrika kusini na kikosi cha timu ya taifa kilichoshiriki michuano ya cosafa na kutolewa katika hatua ya awali baada ya kutoteza michezo yake yote mitatu.

0 comments:

Post a Comment