Main Menu

Saturday, May 30, 2015

KWA MARA NYINGINE YANGA YAIZIDI SIMBA UJANJA, YAMNASA MALIMI BUSUNGU

Aliyekua mshambuliaji wa timu ya Mgambo shootin Malimi Busungu leo amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Yanga.

Busungu msimu uliomalizika mei 9 amefanikiwa kufunga magoli 8 na kuwa mmoja wa washambuliaji wakali msimu huo.

Awali busungu alitajwa kutaka kusaini simba lakini taarifa za ndani ya uongozi huo wa timu hiyo zinadai kuwa wameshindana katika sign fee ambapo nchezaji huyo alikua anahtaji fedha nyingi.

Busungu kabla ya kutua Mgambo alikua anaichezea timu ya Polisi morogoro.

0 comments:

Post a Comment