Main Menu
Home
advertising
advertising
Saturday, May 30, 2015
MBEYA CITY YAANZA KUZIBA PENGO LA KASEKE NA MWALYANZI
Baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu katika nafasi ya kati kati, timu ya Mbeya City imeanza kuziba nafasi hizo.
Timu hiyo hii leo imetangaza kuwasajili wachezaji wawili kutoka timu ya JKT Ruvu na Coastal Union.
Afisa habari wa mbeya city Dismas Ten amewataja wachezaji hao kuwa na Haruna Shamte wa JKT ruvu na Joseph Mahundi kutoka Coastal Union.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CALENDAR
International Calendar
ZILIZOSOMWA SANA
ILIKUA NI FURAHA YA AINA YAKE WALIPOKUTANISHWA WAKALI HAWA NA STIVEN GERALD
Ulikua ni mchezo wa hisani uliokua na madhumuni mawili la kwanza kumuaga Stiven Gerald na pili kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchangia kwe...
KALA JEREMIAH AINADI ALBUM YAKE FACEBOOK
Kala jeremiah PASAKA NI NI MOVIE KWA NJIA YA MICHANO NA MOVIE HII INAPATIKANA NDANI YA ALBUM YANGU YA KWANZA AMBAYO TAYARI IKO SOKO...
DKT SHEIN AWAKARIBISHA BILL CLINTON NA BINTIYE CHELSEA ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill C...
SAKATA LA GESI MTWARA LAELEKEA PABAYA ZAIDI
SAKATA la kupinga ujenzi wa bomba la gesi inayovunwa katika Kijiji cha Msimbati mkoani Mtwara kwenda Dar es Salaam, limechukua sura mpya ...
MBEYA PRESS CLUB WABANANA UKUMBINI
UONGOZI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WALAZIMIKA KUJIUZULU BAADA YA WANACHAMA KUKOSA IMANI NA BAADHI YA VIONGOZI WANGAPI WAN...
Search Box
MITANDAO WASHIRIKI
MZEE WA MATUKIO
MICHUZI
MATERUNI
WATEMBELEAJI
0 comments:
Post a Comment