Main Menu

Wednesday, February 25, 2015

BORUSSIA DORTMUND YAKUBALI KIPIGO BAADA YA MIAKA 18 YA HESHIMA

Baada ya miaka kumi na 18 hatimae timu hizi mbili za Juventus ya italia na  Borussia Dortmund ya ujerumani zilikutana katika dimba la juventus na kushuhudia juve ikiibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja.

Mabao ya juve yalifungwa na mshambuliaji wa zamani wa manchestar united na city Carlos Tevez huku bao la pili likifungwa Alvaro Morata.

Kocha Jurgen Klopp na timu yake wameendelea na mwenendo usiovutia wa matokeo mabaya tangu kunako bunda sliga, bao la kufutia machozi la BVR lilifungwa na Marco Reus.
Juventus striker Carlos Tevez shows composure to score from close range to give Juventus the lead after 13 minutes 
Juventus striker Carlos Tevez akiifungia timu yake goli la kuongoza katika dakika ya 13
Tevez scored after a mistake by Borussia Dortmund goalkeeper Roman Weidenfeller in the Champions League last 16 tie
Kosa la golikipa wa Borussia Dortmund  Roman Weidenfeller likaizawadia goli timu ya juventus kupitia kwa Tevez katika Uefa Champions League hatua ya 16
Tevez celebrated his fourth goal in the Champions League this year with a dummy in his mouth as Juventus took an early lead
Juventus players celebrate at the end of the match against Borussia Dortmund as they hold a slender 2-1 advantage
Wachezaji wa Juventus wakishangilia ushindi wao dhidi ya Borussia Dortmund katika dimba la juventu.
Juventus left Turin with a slender advantage over Borussia Dortmund in a Champions League last 16 tie that remains in the balance
Borussia Dortmund will fancy their chances of scoring against Juventus at home in the second leg on March 18
Borussia Dortmund wakiwa hoi bin taaban kwa kipigo cha mabao mawili kwa moja, sasa wanasubiri mchezo wa marejeano March 18 na wanahitaji ushindi wa bao moja tu kusonga mbele.

0 comments:

Post a Comment