Main Menu

Thursday, August 14, 2014

ANDER HERRERA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WACHEZAJI WENZAKE WA MAN U.

Javier Hernandez, David de Gea na Juan Mata wameungana na mchezaji mpya wa Manchester United Ander Herrera katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

muhispaniola huyo ametimiza miaka 25 ambapo mchezaji mwenzake Javier Hernandez kupitia mtandao wa Instagram amepost picha ya herrera na kumtakia siku yake ya kuzaliwa.

Hernandez anaweza kujiunga na Juventus kama sehemu ya makubaliano ya kiungo wa chile na timu hiyo Arturo Vidal kujiunga man u,
Birthday boy :  Ander Herrera (left) celebrates the occasion with Javier Hernandez, David de Gea and Juan Mata
mtoto aliyezaliwa : Ander Herrera kushoto akisheherekea siku ayke ya kuzaliwa na Javier Hernandez, David de Gea and Juan Mata
In the driving seat: Juan Mata was happy to drive his fellow Spaniard around on his birthday 

0 comments:

Post a Comment