Main Menu

Wednesday, January 8, 2014

OPERESHENI TOKEMEZA YAENDELEA KUWAKAANGA WATUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, 21 WAACHISHWA KAZI

Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania imewasimamisha kazi watumishi 21 wa Idara ya wanyamapori katika mapori ya akiba na kanda za kikosi.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu amesema kuwa serikali imechukua hatua hiyo kufuatia kubainika kuhusika na vitendo vya ujangili na rushwa pamoja na kusaidia mtandao wa ujangili nchili nchini.

0 comments:

Post a Comment