Main Menu

Thursday, January 9, 2014

BASI LA KAMPUNI YA MTEI LACHOMWA MOTO BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUUA WATU WATATU


 
Leo asubuhi basi la abiria  la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo.


0 comments:

Post a Comment