Main Menu

Wednesday, December 25, 2013

SHEREHE ZA MIAKA 14 YA CLOUDS FM MKOANI IRINGA ILIKUA HIVI NA BONGEEEEE

 Bonge wa clouds katikati katika pozi na wafanyabiashara wa viatu maeneo ya miomboni manispaa ya iringa


 bonge na mwendesha bodaboda maeneo ya highlands hall manispaa ya iringa
 hapa akibandika sticker za clouds 92.9 iringa kwny bodaboda
 picha juu na chini bonge akiwa katika mnara ambao ni utambulisho wa manispaa ya iringa

 madreva tax nao hawakua mbali walikutwa na bonge wakisikiliza clouds fm
 stor na madereva na makondakta daladala katika kituo cha posta ilikua shangwe.


 mandhari ya mji wa iringa siku ya leo (boxing day)
 bonge akiwa stand kuu ya mabasi iringa huku mishe mishe za abiria zikionekana kupungua
 bonge kulia na madereva tax wa stand kuu
 wadada nao hawakua nyuma kujumuika na bonge katika kusherehekea miaka 14 ya clouds fm


0 comments:

Post a Comment