MWEUSI JOH MAKINI APAGAWISHA DAR LIVE X-MASS, TATIZO BEI YA MKAA
LIKUWA si mchezo..!
Mwanamuziki
wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki
wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo
Mbagala - Zakhem, jijini Dar usiku huu wa sikukuu ya Krismasi.
Mashabiki wa Joh Makini ndani ya Dar Live wakiwa wamepagawa na burudani.
0 comments:
Post a Comment