Main Menu

Thursday, December 26, 2013

HIVI NDIVYO JESE CHAMILION ALIVYOIKARIBISHA X-MASS CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

Mwanza ilimbeba jujuu Jose Chameleone katika kuipokea Christmass.
"Watu wangu wa nyumbani Mwanza mikono juu" By Chameleone.
Hapa lilipigwa Valu valu.
Mama mia....!!
Bei ghali....!
'Wape watu tumepewa fasi amuka basi....EeeeeeeeeeH'
Mc him self B 12 toka XXL ya Clouds Fm.
Swaggz..!
Bob Haisa hakamatiki..
Aliikamata Mwanza kwa hisia zaidi.
From the stage na Bob Haisa.
The song 'Nisamehe' by Bob Haisa.
The nyomi..
Bob Haisa alidhihirisha kweli kimya chake kimekuja na mshindo.
Bob Haisa akimtambulisha producer  anayetengeneza muziki wake kwa sasa.
Pepsi moja kati ya wadhamini wa Badilisha Concert Mwanza.
Jambo Scuard toka Arusha kama kawa waliwakilisha vyema.
Mtu mbili kamamilioni mbili.
Who is that?

0 comments:

Post a Comment