Main Menu

Wednesday, November 20, 2013

CHRISTIANO RONALDO AMFUNIKA IBRAHIMOVIC KATIKA MBIO ZA KUELEKEA BRAZIL, URENO YAFUZU KWA AGG (2-4)

Timu ya taifa ya Ureno imefuzu kombe la dunia baada kuifunga Sweden kwa ushindi jumla wa magoli manne kwa mawili baada ya michezo ya mikondo miwili.

Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo aliifungia Ureno magoli matatu wakati yale ya Sweden yalifungwa Zlatan Ibrahimovic kwenye mchezo mkali wa kuvutia.
 Portugal's Cristiano Ronaldo celebrates scoring the opening goal
 Cristiano Ronaldo akishangilia goli lake la kwanza.

Ureno wanaungana na mataifa ya Croatia,Ufaransa , na Ugiriki yaliopitia kwenye kapu la mtoano wa kufuzu kombe la dunia litakalofanyika  mwakani nchini Brazil.

Timu zitakazoshiriki kombe la dunia ni.

Kutoka Afrika: Algeria, Cameroon, Ghana, Ivory Coast, Nigeria 

Asia: Australia, Iran, Japan, South Korea 

Ulaya : Belgium, Bosnia-Hercegovina, Croatia, England, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Portugal, Russia, Switzerland, Spain 

Amerika ya kaskazini na Caribbean: Costa Rica, Honduras, United States 

America kusini: Argentina, (wenyeji) Brazil, Colombia, Ecuador, Chile.



Heads down: Ibrahimovic and his team-mates look dejected after Ronaldo's third goal

Meeting of stars: Zlatan Ibrahimovic walks menacingly towards star of the show Ronaldo
Leader: Ronaldo's third goal sealed a 3-2 win on the night and a 4-2 aggregate victory for Portugal
Leader: Ronaldo's third goal sealed a 3-2 win on the night and a 4-2 aggregate victory for Portugal


Pile-on: Ronaldo is mobbed after his brilliance secured Portugal a coveted spot in Brazil 

0 comments:

Post a Comment