Main Menu

Sunday, August 4, 2013

DIDIER DROGBA AENDELEA KUITESA ARSENAL, AINYIMA UBINGWA WA EMIRATES CUP BAADA YA KUISAIDIA TIMU YAKE YA GALATASARAY KUIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 2 KWA 1 LA GUNNERS

Didier Drogba ameendelea kuisumbua arsenal baada ya kuisaidia timu yake ya Galatasaray kutwaa kikombe cha Emirates.

Drogba mwenye umri wa miaka 35 sasa aliisumbua sana arsenal akiwa na klabu ya chelsea lakini sasa ameendea na ubabe hata akiwa na klabu nyingine baada ya kuisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 2 kwa 1 dhidi ya arsenal na kutwaa kikombe cha Emirates baada ya kushinda mchezo wa kwanza goli 1 kwa 0 dhidi ya fc porto.

Kwa matokeo hayo yameifanya arsenal kuelekea kuanza msimu wa 2013/2014 vibaya.
On target: Drogba scored a late double to clinch the Emirates Cup

Spot on: Drogba sends Wojciech Szczesny the wrong way

Remember me? Drogba celebrates after the final whistle

Opener: Walcott watched his cross-come-shot give Arsenal the lead

Smiles all round: Walcott celebrates with his Arsenal teammates

Return home: Emamanuel Eboue (right) captained Galatasaray on his return to former club Arsenal

New man: Yaya Sanogo made a promising start in his first Emirates appearance

No holding back: Johan Elmander of Galatasaray battles with Kieran Gibbs of Arsenal

Disappointment: Arsenal manager Arsene Wenger looks on during his side's defeat

0 comments:

Post a Comment