Wednesday, July 3, 2013
TUZO ZA BET ZAFANYA USIKU WA KUAMKIA JANA, NIGERIA YANG'ARA, UGANDA WAJIPA MOYO, CHECK WALIOFANIKIWA KUPATA TUZO
Usiku wa juzi zimefanyika tuzo za BET nchini Marekani ambazo zimekua hosted na mchekeshaji Chris Tucker na he did a good job.
Ice Prince ni msanii wa Africa aliyeiwakilisha Nigeria vizuri.
Baada ya kushinda tuzo hiyo, Ice Prince alitweet: We won the BET2013 award at the staple centre LA live!!! Words cannot describe this!! God bless you.
Kabla ya show hiyo, Radio na Weasel ambao walihudhuria pia tuzo hizo zilizofanyika jijini Los Angeles, Marekani walidai kuwa hata kama wakikosa tuzo, kitendo cha wao kutajwa ni heshima tosha.
“Tonyt we take a step to triumph..wereva we go we carry our nation wuth us..as da wrld converges to celebrate art to celebrate talent from across the wrld,we happy to ve our great nation UGANDA mentioned in the loud screams..we alrdy feel like winners to be here and if we win we win for you our fans our families our friends our nation..Uganda at the BET awards 2013 we made it here.”
Yaliyojiri
Stevie Wonder, Jamie Foxx, Pharrell, Snoop Dogg na India Arie walikuwa sehemu ya performance ya heshima kwa msanii wa siku nyingi Charlie Wilson aliyetunikuwa tuzo ya Lifetime Achievement Award.
Wengine walioperform ni pamoja na Ciara, Nicki Minaj, R Kelly, Chris Brown na wengine wengi.
Drake, ambaye hakuwepo kwenye tuzo hizo alikuwa ametajwa kuwania vipengele 12 lakini alishinda viewer’s choice na best collaboration kwa kushirikishwa kwenye wimbo wa A$AP Rocky, “F—in’ Problems akiwa na Lamar na 2 Chainz.
Chris Brown ndiye aliyefungua show kwa kutumbuiza nyimbo mpya ukiwemo ule wenye sauti za Aaliyah na mwingine aliomshirikisha Nicki Minaj ambaye aliungana naye jukwaani.
Naye mshereheshaji Chris Tucker aliimba na kucheza nyimbo kwa heshima ya aliyekuwa rafiki yake hayati Michael Jackson. Miguel alishinda tuzo ya kwanza kutolewa usiku huo, best male R&B pop artist kwa kuwashinda Brown, Timberlake, Usher, na Bruno Mars.
Don Cheadle aliikabidhi tuzo hiyo kwa Miguel na kuutumia usiku huo kumkumbuka Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela. “Tunataka kuchukua muda na kutuma sala na fikira zetu kwa mtu aliyebadilisha ulimwengu,” alisema.“Jioni hii tungependa kutoa sala zetu na support na tumaini kwa Nelson Mandela na familia yake.”
Jamie Foxx, aliyekuwa amevaa shirt yenye picha ya marehemu Trayvon Martin, alishinda kipengele cha muigizaji bora na alicheza stejini na mchekeshaji Kevin Hart aliyemkabidhi.
Hart, aliyekuwa host wa BET Awards mwaka uliopita alionesha kuchukua mng’aro wa Tucker, ambaye alionekana host wa kawaida tu.
List nzima nzima ya washindi.
Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Tamar Braxton
Alicia Keys
Rihanna | WINNER
Elle Varner
Male R&B/Pop Artist
Chris Brown
Bruno Mars
Miguel | WINNER
Justin Timberlake
Usher
Best Group
Macklemore & Ryan Lewis | WINNER
Mary Mary
Mindless Behavior
Slaughterhouse
The Throne (Kanye West & Jay-Z)
Best Collaboration
2 Chainz f/ Drake & No Lie
A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar & Problems | WINNER
French Montana f/ Rick Ross, Drake and Lil Wayne - Pop That
Kendrick Lamar f/ Drake & Poetic Justice
Justin Timberlake f/ Jay-Z - Suit Tie
Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2 Chainz - Mercy
Male Hip Hop Artist
2 Chainz
A$AP Rocky
Drake
Future
Kendrick Lamar | WINNER
Female Hip Hop Artist
Azealia Banks
Eve
Nicki Minaj | WINNER
Rasheeda
Rye Rye
Video of the Year
2 Chainz f/ Drake - No Lie
A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar - Problems
Drake - Started From The Bottom | WINNER
Drake f/ Lil Wayne - HYFR
Kendrick Lamar f/ Drake - Poetic Justice
Macklemore & Ryan Lewis f/ Wanz - Thrift Shop
Miguel - Adorn
Rihanna - Diamonds
Justin Timberlake f/ Jay-Z — Suit & Tie<br />
Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2 Chainz — Mercy</p>
Video Director of the Year
A$AP Rocky & Sam Lecca
Benny Boom | WINNER
Director X
Dre Films<br
Hype Williams
New Artist
Azealia Banks
Joey Bada$$
Kendrick Lamar | WINNER
Trinidad Jame$
The Weeknd
Gospel Artist
Deitrick Haddon
Lecrae
Tamela Mann
Mary Mary | WINNER
Marvin Sapp
Actress
Angela Bassett
Halle Berry
Taraji P. Henson
Gabrielle Union
Kerry Washington | WINNER
Actor
Don Cheadle
Common
Jamie Foxx | WINNER
Samuel L. Jackson
Denzel Washington
FANdemonium Award
Rihanna
Chris Brown | WINNER
Beyonce
Nicki Minaj
International Act: Africa
2Face Idibia (Nigeria)
Toya Delazy (South Africa)
Donald (South Africa)
Ice Prince (Nigeria) | WINNER
R2Bees (Ghana)
Radio and Weasel (Uganda)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment