Baada ya mtoto wa kifalme kuzaliwa Jumatatu katika
familia ya kifalme ya Prince William na mkewe Kate wa Uingereza hatimaye jina
la mtoto huyo lawekwa wazi.
Mfalme huyo wa baadaye amepewa jina la GEORGE
ALEXANDER LOUIS.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Daily Mail mtoto huyo
atakapofikia hatua ya kutawala ataikwa
King George VII, na kabla ya hapo atakuwa akifahamika kama Prince George.
Uamuzi wa jina la mtoto huyo umefanywa na wazazi
wake William na Kate.
0 comments:
Post a Comment