Huku kukiwa na waandishi wa habari karibu 250 kutoka ndani na nje ya Uingereza, na vituo kadhaa vya televisheni vikisongamana katika chumba alikofikia katika uwanja wa Stamfort Bridge, mkufunzi huyo kutoka Ureno, alionekana mwenye kuendelea kuwa na mvuto kwa vyombo vya habari.

Mourinho amewaambia waandishi wa habari kwamba angekuwa mwenye kuchagua jina la utani, basi angechagua jina la 'mwenye furaha.'
Mourinho aliyeifundisha Chelsea hapo kabla anarudi akitokea Real Madrid ya Uhispania.
0 comments:
Post a Comment