Ushindi ulioshababishwa na hat trick ya Roben Van
Persie dhidi ya aston villa umeipa manchester united ubingwa wa 20 lakini
muholanzi huyo akijisafishia njia ya kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka na
kiatu cha dhahabu ikiwa kwa sasa amemtangulia mshambuliaji wa Liverpool Luiz Suarez
kwa bao moja.
Van persie amefunga mabao 3 ndani ya dakika 33 za
kwanza za mchezo, akiwa amevaa jezi namba 20 Rvp amefanikiwa kuipa united
kikombe cha ishirini.
Mholanzi huyo amefanikiwa kutwaa ubingwa baada ya
muda mrefu bila ubingwa wowote na hapa inahashiria kuwa uhamisho wake kwenda
man u haukua wakubahatisha, huku kocha wa majirani zao City Roberto mancini akiumia
kwa kumkosa mchezaji huyo aliyewahakikishia majirani zake ubingwa
Out with a bang: Robin van Persie's akifunga bao la pili ambalo ni muendelezo wa mabao ya style hiyo
One hand on the trophy: Van Persie akishangilia bao la 3 dakika ya 33
MATCH FACTS
Manchester United: De Gea, Rafael, Evra, Jones, Evans, Valencia, Giggs, Carrick, Kagawa, Rooney (Welbeck 72), Van Persie
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Buttner, Nani, Cleverley, Hernandez
Booked: Evra
Goals: Van Persie 2, 12, 33
Aston Villa: Guzan, Vlaar, Bennett (Clark 80), Baker, Lowton, N'Zogbia (El Ahmadi 46), Westwood, Delph, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Subs not used: Given, El Ahmadi, Holman, Sylla, Bent, Bowery
Referee: Taylor
Attendance: 75,591
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Buttner, Nani, Cleverley, Hernandez
Booked: Evra
Goals: Van Persie 2, 12, 33
Aston Villa: Guzan, Vlaar, Bennett (Clark 80), Baker, Lowton, N'Zogbia (El Ahmadi 46), Westwood, Delph, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Subs not used: Given, El Ahmadi, Holman, Sylla, Bent, Bowery
Referee: Taylor
Attendance: 75,591
Credit where it's due: Van Persie picks Wayne Rooney up after he picked the Dutchman out for his wonder goal
Early doors: Van Persie akifunga bao la kwanza
Three and easy: Van Persie akipachika bao la 3 na kufikisha hat trick ya 2 msimu huu
Give us a wave: Ferguson akiwapungia mkono mashabiki wake mchezo ukielekea ukingoni
Get that changed: This banner will have to be replaced before the next game at Old Trafford
The difference? Van Persie and United played some of their best football of the season in the first half
Demanding: Sir Alex Ferguson encouraged his side to continue to press against Villa
Raging: Ferguson was still on the touchline in the second half urging his players to up their game
Danger man: Van Persie (centre) ran riot in the first period as Villa scrambled to contain him
Nightmare start: Aston Villa manager Paul Lambert
In attendance: mmiliki wa Manchester United Glazers alikuwepo Old Trafford akishuhudia vijana wake wakichukua ndoo ya 20
.
walikua wanajua kitakacho endelea thats why hawakua na wasiwasi na biashara waliyokua wakiifanya
0 comments:
Post a Comment