Main Menu

Tuesday, February 19, 2013

VIONGOZI WA KATA YA GANGILONGA MKOANI IRINGA WAPANDA MITI KULINDA MAENEO YA WAZI

 Diwdiwani viti maalum kanda ya kihesa farida mpogole na diwani wa kata ya gangilonga nicolina luandala wakielekea kupanda miti.
        diwani viti maalum farida mpogole akipanda mti katika eneo la wazi zilipo ofisi za kata ya gangilonga.
 diwani wa kata ya gangilonga nicolina luandala akipanda mti katika eneo la ofisi yake.
        baadhi ya wanafunzi na wananchi wa kata hiyo wlioshiriki zoezi hilo
                                 afisa mtendaji wa kata ya gangilonga akipanda mti kufanikisha zoezi hilo


                     madiwani wakiongea na wana habari


baada ya kazi ya kupanda miti kukamilika vijana walikabidhiwa mipira kwa ajili ya kuwafanya wawe bize na kupunguza ukaaji wa vijiweni na kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.

0 comments:

Post a Comment