Main Menu

Wednesday, February 20, 2013

ARSENAL ILIVYOKUFA EMIRATES KATIKA PICHA



             wengine wakitunishiana misuli wenginesijui wanafanya nn hapo chini
   kiungo wa bayern Schweinsteiger akionyeshwa kadi ya njano itakayomfanya akose mchezo wa marudiano
             kocha wa arsenal arsene wenger akiwa na msaidizi wake baada ya game kumalizika

                      muller akifunga bao la pili mbele ya kiungo wa arsenal arteta

   mshambuliaji wa arsenal podoski akishangilia goli pekee la timu yake na mjerumani mwenzake mertesacker
   thomas muller wa bayern akifunga bao la pili dk 21 


    kroos mshambuliaji wa bayern akifunga bao la kwanza la timu yake dh ya 7
          mchezaji aliyeanza kupeleka kilio arsenal  kroos

0 comments:

Post a Comment