Main Menu

Friday, January 11, 2013

WAKATI NCHI NYINGI ZIKIWA HURU NA INTANET, KOREA KUSINI HALI NI TOFAUTI

 
Mwenyekiti wa kampuni ya mtandao wa intaneti ya Google Eric Schmidt, ametoa wito kwa Korea kaskazini kuruhu
su uhuru zaidi wa matumizi ya intaneti. 

Schmidt alitoa wito huo wakati wa ziara yake mjini Pyongyang, akisema ni muhimu kwa maendeleo ya nchi hiyo. 

Huduma za intaneti zinapatikana tu kwa maafisa wa serikali, maafisa wa kijeshi na vyuo vikuu, lakini si kwa raia milioni 24 wa nchi hiyo. 
 

Schmidt alikuwa sehemu ya ujumbe uliyotembelea mji mkuu wa nchi hiyo, licha ya ukosoaji wa serikali ya Marekani.

chanzo dwswahili

0 comments:

Post a Comment