Main Menu

Thursday, January 17, 2013

TIGER WOODS AMTAMANISHA MTALAKA WAKE KWA OFA NONO

Mcheza Tenis Maarufu duniani Tiger Woods ametangaza "Ofa" ya dola za kimarekani Milioni 200 sawa na Bil 3.2 za kitanzania kwa mtalaka wake ELIN iwapo atakubali kumrudia na kufunga naye ndoa tena.

Hata hivyo mtalaka huyo Elin ametoa sharti la kulipwa faini ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na Shilingi za Kitanzania Bil 5.6

0 comments:

Post a Comment