

Ushindi huu unaipa Sevilla tiketi ya kucheza michuano ya ligi ya mabingwa na kufanya nchi ya hispania kuweka rekodi ya kuingiza timu tano katika michuano hiyo ya Uefa.

Magoli ya Sevilla katika fainal hiyo iliyopigwa katika dimba la
Stadion Narodowy yamefungwa na carlos bacca aliyefunga mara mbili na Grzegorz Krychowiak wakati yale ya dnipro yamefungwa na
Nikola Kalinic na Ruslan Rotan.

0 comments:
Post a Comment