Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa
watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini
Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iring.
Godfrey
Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa
niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga
mkoani Iring.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiongea kwa niaba ya Serikali
Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa mazikoni hapo
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiongea kwa niaba ya kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni
Wakuu wa Wilaya mbalimbali wakiweka shada lao la maua
Wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge wakiweka shada lao
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua
Mjane wa marehemu akiweka shada la maua
Machifu wakiweka udongo kaburini
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akiweka mchanga kaburini
0 comments:
Post a Comment