Main Menu

Friday, January 24, 2014

HII HAPA KAULI YA MOURINHO JUU YA MALALAMIKO YA WENGER KUUZWA KWA MATA

Malalamiko ya Wenger nimeyazoea, kama Yeye angemuuza Ozili kwenda Manchester United binafsi ningefurahi sana kwa sababu ameuza mchezaji ambaye ni muhimu kwao. Kwa hali ya kawaida Wenger angetakiwa afurahi kwa kuwa Chelsea wameuza mchezaji muhimu wa team kama Juan Mata....Mourinho

0 comments:

Post a Comment