Main Menu

Thursday, October 10, 2013

GAZETI PENDWA LA MWANANCHI KUANZA KUCHAPISHWA TENA KESHO BAADA YA KUMALIZA ADHABU

Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited(MCL)Tido Mhando akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji leo wa gazeti la Mwananchi lililokuwa limefungiwa kwa wiki mbili.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi,Denis Msacky na Meneja Masoko wa MCL,Bernard Mukasa(kushoto).Picha na Fidelis Felix 
Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited(MCL)Tido Mhando akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji leo wa gazeti la Mwananchi lililokuwa limefungiwa kwa wiki mbili.
 
Kulia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi,Denis Msacky na Meneja Masoko wa MCL,Bernard Mukasa(kushoto).
 
Picha na Fidelis Felix

0 comments:

Post a Comment