Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
(LHRC), Pasience Mtowe (kulia), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Julai 29, 2013.
wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya kuanzia
Januari hadi Juni 2013 ya kituo hicho kuhusu mambo
mbalimbali yaliyotokea nchini. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo
hicho Imelda Urio, akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment