Main Menu

Friday, March 8, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MKOA WA IRINGA KATIKA PICHA

Hapa ulifika muda wa kuwachangia watoto yatima na mgeni rasmi mkurugenzi wa veta kanda ya nyanda za juu monica mbelle akaongoza harambee hiyo

          Afisa habari manispaa ya iringa naye akichangia alicho nacho

 UKAFIKA MUDA WA VIKUNDI MBALIMBALI VYA MAENDELEO KUCHANGIA WATOTO YATIMA, AMBAPO ZAIDI YA SHILINGI LAKI TANO PAMOJA NA VITU MBALIMBALI VILITOLEWA.


                                     Ukikufaa ujumbe huu chukua uufanyie kazi

               mgeni rasmi akikabidhi cheti kwa mkufunzi wa mafunzo ya wiki mbili ya utengenezaji wa batiki na kupamba yaliyoandaliwa na veta mkoa wa iringa

Maadhimisho ya siku ya mwanamke mkoa wa iringa yamefanyika katika viwanja vya mwembetogwa ambapo mgeni rasmi alikuwa mkurugenzi wa veta nyanda za juu Monica Mbelle.

Hata hivyo viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo akiwemo mstahiki meya wa manispaa ya iringa Aman Awamwindi.

Akitoa hotuba katika maadhimisho hayo mbelle amewataka wanawake kuchangamkia nafasi za mafunzo zinazotangazwa na taasisi mbalimbali ikiwemo na kujiunga katka vikundi vya maendeleo.


0 comments:

Post a Comment