Main Menu

Wednesday, April 17, 2013

LULU RASMI ATIMIZA MIAKA 18, BAADHI YA MATUKIO KATIKA PARTY YAKE


Keki
Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika hivi kuhusu umri wake kwenye hii picha yake yake iliyopo Instagram.

Which means, “No more questions…no more answers..no more lies…no more drama,” ameandika kwenye moja ya picha alizopost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Msosi wa nguvu pale kati
Msosi wa nguvu pale kati
Keki ya mtoto aliyezaliwa jana

Jana muigizaji huyo ametimiza umri wa miaka 18 na kualika watu wa karibu kufurahi naye pamoja kwenye sherehe hiyo iliyofanyika takriban miezi mitatu atoke mahabusu kwa dhamana kutokana na kesi ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzie aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba.
Lulu akiwa na rafiki wa karibu
Rafiki

Miongoni mwa waalikwa kwenye party hiyo alikuwa ni hitmaker wa Singe Boy, Ali Kiba.
Lulu na Ali Kiba
the Bday girl
“Thank u ma pipo….!!!I won’t stop saying dic word….!!!Thank you soooo much,” aliandika kwenye picha nyingine.
Lulu akiwa na Dr Cheni ambaye anamchukulia kama baba yake
Officially 18…
Waalikwa
Happy birthday Lulu.

0 comments:

Post a Comment