beki wa kati wa barca cales puyol pamoja na kujitoa kwa kila hali bado mambo yalikua magumu na mwisho wa siku alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na masherano
hapa sijaelewa ilikuaje mchezaji bora wa dunia lionel messi baada ya mchezo kumalizi wakiwa wamelala 2 bila
kocha wa club ya ac milan Massimiliano Allegriakiwa na furaha baada ya ushindi
Mario Balotelli akifurahina mpenzi wake ambaye ni mwana mitindo Fanny Robert Neguesha
wachezaji wa barca wakilalamikia goli la kwanza la ac milan kuwa kabla ya mpira kumfukia mfungaji ulishikwa
hii hali inakera
Baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Ac Milan
usiku wa kuamkia leo kiungo wa Fc
Barcelona Andres Iniesta amesema kuwa matokeo waliyoyapata yametokana na kikosi chao kutocheza vyema kikiwa ugenini.
Raia huyo wa Hispania amesema kufungwa magoli 2 kwa 0 na Milan kumewakosesha furaha kwakuwa hawakutegemea kupata matokeo hayo huku akisistiza kwamba timu yao ilicheza chini ya kiwango.
Kwaupande wake mlinzi wa Barcelona Dani Alves ameonyesha kuchukizwa na matokeo hayo kwenye uwanja wa San Siro huku akijipa matumaini ya kufanya vyema katika mchezo wa maruadiano licha ya kukiri kuwa haitakuwa kazi rahisi.
Hatahivyo raia huyo wa Brazil amelalamikia goli la kwanza la Milan kwakusema kwamba kabla ya mpira kumfikia mfungaji mchezaji Cristian Zapata aliugusa kwa mkono lakini mwamuzi hakuona tukio hilo.

0 comments:
Post a Comment