Main Menu

Sunday, March 17, 2013

KAMBI YA MABACHELOR YA EBONY FM YAPATA PIGO BAADA YA MHARIRI WA KITUO HICHO KUVUTA JIKO, MATUKIO KATIKA PICHA

      Abdulfatah murtadha akiwa na mkewe pamoja na wapambe wao katika hafla ya kumtambulisha mke wake kwa wafanyakazi wenzake wa ebony fm mkoani iringa, party iliyofanyika katika ukumbi wa veta mkoani humo
              afisa habari wa tanzania national park nyanda za juu risala akizungumza katika party hiyo kama mmoja wa wadau wakubwa wa ebony fm, ambapo aliahidi kuwapeleka maharusi kutembelea mbuga ya ruaha kwa siku mbili yani animoon, huku simba anaunguruma huku abdul anaunguruma hapo patamu hadi nami nataman kuoa.

mtangazaji wa kipindi pendwa cha michezo cha ebony fm (anga la michezo) yusuph mkule (kulia) na teddy hankungwe anayefanya kipindi cha usiku midnight.
    mwenyekiti wa umoja wa vijana ccm mkoa wa iringa na mwandishi wa habari tumaini msooya akinena kitu, pembeni aliyekaa na kumuangalia ni mme wake mtarajiwa ambaye pia ni katibu wa uvccm iringa vijijini


mmoja wa wanakamati ya maandalizi ambaye pia ni mfanyakazi wa ebony fm yahaya mohamedy akikagua ukumbi kabla ya party hiyo
wa pili kutoka kulia mwarabu wa dubai hatya omary, aisha sandigah,na kabula wafanyakazi wa ebony fm



shughuli za waandishi bana hazikosi mapaparazi, katikati mwandishi wa star tv na radio free afrika oliver moto
                                      mambo ya kuvisha pete hayo na ole wako tusikuone nayo



wafanyakazi wa ebony fm kutoka kulia groly pele na mhasibu grace mwabulesi akiwa na mmewe

                                   madada na shangazi wa bw harusi katika shughuli
                                                             mambo ya kulishana keki hayo

                                          mama mkwe wake na abdulfatah


          mwarabu wa dubai hatya omary akionyesha vitu vyake mara baada ya dj kucheza wimbo wa mzee yusuf
                           abdul na mama mkwe wake


                 hahahaha hapo bw harusi akicheza nyimbo ya kwao hata cjui inaitwaje
                     wafanyakazi wa ebony wakitoa pongezi kwa mwenzao

                             yusuph mkule cjui anamwambia nn bw harusi au anaomba no ya mdogo wa bi harusi?
                      dj kwasa akitoa pongezi


                           legendari maregesi gerishon akitoa pongezi kwa maharusi
                       big alen philip nae hakua nyuma kutoa pongezi

                  fundi mitambo wa ebony fm akiwaongoza wenzake kupeleka zawadi kwa bw harusi

0 comments:

Post a Comment